-->

Type something and hit enter

On 
Nilianza kujiona hata mimi ni mkubwa kwenye huu muziki wetu wa Bongo Fleva baada ya wasanii wa mataifa jirani kama Kenya na mengi kuomba niwaandikie nyimbo tena wasanii wakubwa haswa.Mwanzo nilitaka kutaka Tamaa baada ya kuona kama hakuna ninachofanya maana sioni matunda yake mafanikio siyaoni ila baada ya kuanza kupokea simu za wasanii wa Nje kuomba niwaandikie nyimbo hapo ndio nilipoanza kujiona mkubwa”  Jay MelodyClick to comment
 
Blog Meets Brand