-->

Type something and hit enter

On 


Mzee Baba Rajabu Abdul Kalahari maarufu kama HARMONIZE ameweka ukweli wake kwa wadada wanaotamani kutoka nae kwamba wasitamani kuchepuka nae kwasababu watajichoresha yeye hisia zake zipo kwa Mtoto Winfrida Kajala Masanja.

Kupitia ukarasa wake amepost picha ya kajala pembeni na kuusindikiza na ujumbe unaosomeka hivi 👇👇👇👇

"LIFE TIME PARTNER ♥️ ♥️♥️♥️♥️♥️♥️ Swali kwako Wewe Hapo ....!!!!!! Ishawahi Kukutokea Una fanya Lile Tendo Letu La Siri Na Mtu Alafu Hisia Zako Zikawa Kwa Mwingine Kabisa Na Sio Yule Ulienae Kitandani ...??????? Basi Ndo Nitakavyo Jisikia Siku Niki chepuka ..!!!!!! 😀😀😀😀 #USICHEPUKENAMIMIUTACHOREKA JAMANI KANIPELEKA MBALI ...!!!! Wini Frida 😭 Sio kwa Post hii Ya Saa 11:00Click to comment
 
Blog Meets Brand