-->

Type something and hit enter

On GigyMoney Ameandika Katika Ukurasa Wake wa Instagram;-


"Taratibu naanza kua niliye takiwa kuwa mda mrefu

🤮sina marafiki wengi

😷sijibizani tena Na watu

🤗Nainjoy upweke wa hapa Na pale

Nalidhika Na vichaache nilivyo barikiwa

🤧sibembelezi ukaribu Na mtu

👯‍♀️nawachagua wanao nichagua

🤦🏻‍♀️🤦🏻‍♀️nikiona atuendani najitenga

💃🏻yani nainjoy hii pumzi fupi niliyobarikiwa"

Click to comment
 
Blog Meets Brand