Fiston: Nipo Fiti, Nisipofunga Nitatoa Asisti-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Fiston: Nipo Fiti, Nisipofunga Nitatoa Asisti-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

MSHAMBULIAJImpya wa Yanga raia wa Burundi, Fiston Abdoul Razack, amesema kuwa yupo fiti kuikabili Kengold FC leo na kama hatafunga basi atasababisha bao ‘asisti’.

 

Mrundi huyu ametua Yanga kwenye usajili wa dirisha dogo msimu huu, na mpaka sasa amecheza mechi mbili za Ligi Kuu Bara na hajafanikiwa kuwakonga mashabiki wa timu hiyo kwani hajafunga wala kutoa asisti.

 

Akizungumza na Championi Jumamosi, Fiston amesema kuwa: “Kama nitapata nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza au kama nikitokea benchi haina shida, lakini nimejiandaa kuhakikisha ninaisaidia timu yangu ipate matokeo mazuri.

 

“Kama sitaweza kufunga kwenye mechi hiyo basi nitajitahidi nisababishe upatikanaji wa bao ili timu ipate ushindi.”

STORI: CAREEN OSCAR,Dar es Salaam

The post Fiston: Nipo Fiti, Nisipofunga Nitatoa Asisti appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz