-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MABAO ya Olivier Giroud dakika ya 31 na Timo Werner  dakika ya 39 jana yaliipa Chelsea ushindi wa 2-0 dhidi ya Newcastle United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London.
Ushindi huo unaifanya Chelsea ifikishe pointi 42 baada ya kucheza mechi 24 na kurejea Nne Bora, ikipanda nafasi ya nne nyuma ya Leicester City na Manchester United zenye pointi 46 kila timu baada ya kucheza mechi 24
 


Click to comment
 
Blog Meets Brand