CAF Yaitengea Namungo Mil 635-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

CAF Yaitengea Namungo Mil 635-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

KLABU ya Namungo, ipo kwenye hatua za kujihakikishia kupata dola 275,000 (zaidi ya Sh milioni 635) kutoka Shirikisho la Soka Afrika (CAF).

 

Hiyo ni baada ya kutinga hatua ya makundi katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika ambapo hivi sasa inasubiri mechi ya marudiano dhidi ya CD Primeiro de Agosto itakayochezwa kesho Alhamisi kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar.

Katika mchezo wa kwanza, Namungo iliibuka na ushindi wa mabao 6-2, hivyo kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kusonga mbele na kutinga makundi ambapo inahitaji sare ya aina yoyote au ipoteze mechi kwa mabao yasiyozidi 4-0.

 

Fedha hizo zitatolewa na CAF kwa timu ambayo itashika nafasi ya mwisho kwenye kundi.Namungo ikitinga makundi, itakuwa Kundi D na timu za Nkana, Raja Club Athletic na Pyramids

The post CAF Yaitengea Namungo Mil 635 appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.