-->

Type something and hit enter

On


MUME wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum wa Chama cha Mapinduzi CCM, Vicky Kamata, Dk. Servacius Likwelile amefariki dunia leo, Februari 20, 2021. Dk. Likwelile amewahi kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango.Dk. Likwelile alifunga ndoa na Vicky Kamata, Machi 19, 2016. Taarifa za awali zinaeleza kuwa Likwelile amefariki dunia akiwa nyumbani kwake, Mbweni jijini Dar es Salaam. Taarifa zaidi zitakujia.


Click to comment
 
Blog Meets Brand