-->

Type something and hit enter

On
 
Mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva Bob Haisa ameeleza siri ambayo watu wengi walikuwa hawaifahamu kuhusu Alikiba na Diamond walivyokutanishwa na Rais Magufuli kwa mara ya kwanza Dodoma.

‘Ilikuwa kama historia kwangu kukaa na Alikiba na Diamond Platnumz wakiwa pamoja kwa muda mrefu halafu wakiwa na sura za furaha’

Bob aliongeza kuwa ‘Nilifanikiwa kuongea na Alikiba akaniuliza vipi umerudi tena mbona ulisema unaacha muziki, nikamjibu mtaani pagumu nimerudi, ila kwa upande wa Diamond sikufanikiwa maana alikuwa na mabaunsa wengi nilihofia kufukuzwa pia huenda amanisahau nianze kujitambulisha tena’Click to comment
 
Blog Meets Brand