Binti Mfalme Adai Kushikiliwa Mateka na Baba Yake... - EDUSPORTSTZ

Latest

Binti Mfalme Adai Kushikiliwa Mateka na Baba Yake...

Umoja wa Mataifa unafanya uchunguzi wa tuhuma dhidi ya Mamlaka ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kumshikilia bila hiari Binti Mfalme Latifa, binti wa Kiongozi wa #Dubai, Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum

Kupitia Video iliyorekodiwa kisiri, Binti Mfalme huyo amemlaumu Baba yake kwa kumfanya mateka ndani ya Dubai tangu alipojaribu kutoroka Mji huo mwaka 2018

Ofisi ya Kamishna Mkuu wa #HakiZaBinadamu katika Umoja wa Mataifa imesema inaazimia kuchunguza kuhusu hali ya Latifa baada ya video yake kuhakikiwa

Sheikh Mohammed amejenga Jiji lenye mafanikio makubwa lakini Wanaharakati wa Haki wanasema hana uvumilivu na wapinzani na mfumo wa Mahakama unawabagua Wanawake.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz