Binti Aliyeolewa na Babu wa Kizungu Aibua Mapya Kuhusu Kuwalea Vijana Wenye Umri Mdogo - EDUSPORTSTZ

Latest

Binti Aliyeolewa na Babu wa Kizungu Aibua Mapya Kuhusu Kuwalea Vijana Wenye Umri Mdogo

Unaambiwa umri ni namba tu kwenye mahusiano, kwani msanii Azzy Superstar amesema haoni noma kuwa kwenye mapenzi na mume wake wa kizungu Mr Wolfgang kutoka nchini Austria ambaye amempita miaka 32.

Akipiga stori na EATV & EA Radio Digital, Azzy Superstar amesema ameshakuwa kwenye mahusiano na vijana wenzie lakini wakaamuumiza hivyo bora alelewe mzungu huyo ili oane raha.

"Watu wanaponda mahusiano wanasema nafata pesa kwa mume wangu kitu ambacho sio kweli kwa sababu nimesha-date na wanaume ambao wapo na uwezo chini yangu wakasema nawalea, kwa hiyo acha na mimi nilelewe nione raha maana nishalea sana na mimi nimechoka" amesema Azzy Superstar Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.