-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

BINGWA mtetezi upande wa wanawake, Sofia Kenin ametupwa nje ya michuano ya Australian Open baada ya kufungwa seti mbili mfululizo (6-3, 6-2)ndani ya nusu saa kwenye mechi ya raundi ya Pili na Kaia Kanepi wa Estonia mapema leo Jijini Mebourne.
Mkongwe wa Hispania, Feliciano Lopez akicheza mashindano yake ya 19 ya Australian Open amemtoa Mtaliano Lorenzo Sonego kwa seti 3-2 (5-7, 3-6, 6-3, 7-5, 6-4) katika mchezo uliodumu kwa saa tatu na dakika 18 sasa atamenyana na Andrey Rublev wa Urusi katika Raundi ya tatu Click to comment
 
Blog Meets Brand