-->

Type something and hit enter

By OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

Ligi ya Mabingwa inarejea Jumanne hii hatua ya 16 Bora, Barcelona anaialika Paris Saint German. Kupitia Meridianbet Barcelona amepewa Odds ya 2.15 kushinda kama mwenyeji wa mchezo huu.

RB Leipzig ataikaribisha Liverpool katika dimba la Puskás Aréna (Budapest) baada ya mamlaka za nchini Ujerumani kuweka vikwanzo kwa timu za Uingereza, Odds ya Liverpool kushinda 2.35 kupitia Meridianbet.

Jumatano FC Porto watakuwa wenyeji wa Juventus pale Estádio do Dragão (Porto) katika mechi tatu za mwisho Porto hajawah kushinda dhidi ya Juventus, ukitembelea Meridianbet utaona Juventus ana Odds 2.05 kwenye mechi hiii.

Katika moja ya mechi ya kibabe Jumatano ni Sevilla anaialika Dortmund, mara ya mwisho walikutaka kwenye Europa League wakatoka sare. Katika Meridianbet Sevilla ana Odds nono ya 2.55.

Bila kusahau Alhamisi kuna UEFA Europa League AC Milan watakuwa wageni wa FK Crvena Zvezda pale Rajko Mitić (Belgrade) na Meridianbet hatujawahi kukucha salama kwa Odds zetu bomba Milan ana 2.15 kushinda mechi hiyo.

Mechi kali katika Ligi ya Europa wiki hii ni Benfinca dhidi ya washika mitutu wa London, Arsenal, kuna Odds ya 2.55 kwa Arsenal kupitia Meridianbet kwenye mchezo huu 

 

Meridianbet, Nyumba yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

The post Barcelona Kukiwasha Na PSG Leo Ligi Ya Mabingwa appeared first on Global Publishers.Click to comment
 
Blog Meets Brand