Barbara Ataja Mamilioni Yalivyowapa Ushindi Caf-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Barbara Ataja Mamilioni Yalivyowapa Ushindi Caf-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

MTENDAJI Mkuu wa Simba, mwanadada Barbara Gonzalez amefunguka kuwa jambo pekee ambalo linaweza kuleta mafanikio kwenye soka ni uwekezaji wa kweli.

 

Barbara alieleza kuwa mpira wa sasa unahitaji uwekeze fedha ya kutosha kwenye nyanja mbalimbali ikiwemo kwenye kununua wachezaji na kufanya maandalizi ya kina kwenye kila mchezo na mashindano makubwa kwa madogo.

 

Akizungumza kwa namna ambavyo Simba wanatisha msimu huu hasa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Barbara alifunguka:

 

“Ukiwekeza kwenye soka unafanikiwa kirahisi kabisa bila hata wasiwasi. Hakuna ujanjaujanja kwenye soka.“Ili uweze kufanya vizuri kwenye mashindano ya kimataifa lazima uwe na kikosi chenye wachezaji bora na kocha mwenye viwango vikubwa, ndicho ambacho sisi tunafanya, tumewekeza fedha kwa wachezaji na tunapata mafanikio.”

ISSA LIPONDA,Dar es Salaam

The post Barbara Ataja Mamilioni Yalivyowapa Ushindi Caf appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz