-->

Type something and hit enter

By OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

Wiki hii kunamuendelezo wa mashindano kadha wa kadha kunako soka la Ulaya. FA Cup, Coppa Italia na La Liga ni miongoni mwa mashindano yatakatoendelea wiki hii.

 

Siku ya Jumanne ni Burnley vs Bournemouth katika mzunguko wa 5 wa Kombe la FA. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.40 kwa Burnley kwenye mtanange huu.

 

Kule Hispania katika muendelezo wa La Liga Sentander, Real Madrid atachuana na Getafe. Bado Madrid hajakubali kupoteza ubingwa wake msimu na hivyo anapambana kwenye kila mchezo kuzisaka pointi 3 muhimu. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.60 kwa Madrid.

 

FA Cup itaendelea tena Jumatano ambapo Leicester City atamkaribisha Brighton Albion, huu ni mchezo utakaozikutanisha timu mbili zinazocheza EPL msimu huu. Hapa kunaodds ya 1.95 kwa Leicester City kupitia Meridianbet.

 

Kule Italia ndio hapatoshi Jumatano hii, nusu fainali ya pili ya Coppa Italia kuwakutanisha Atalanta vs Napoli. Mchezo wa kwanza walitoka sare lakini kwenye mchezo huu, lazima mshindi apatikane.

 

Nani atakwenda fainali msimu huu, Meridianbet tumekuweka Odds ya 1.90 kwa Atalanta kama mwenyeji wa mchezo huu.

 

Alhamis tunarudi tena kwenye FA Cup kule Uingereza ambapo safari hii ni Wolves vs Southampton. Soka flani lenye viwango na udambu wa kuzidi kila zinapokutana timu hizi. Kwa Meridianbet, tumekuwekea Odds ya 2.45 kwa Wolves.

 

Tutaimaliza siku kwa mchezo wa La Liga ambapo Athletic Bilbao atachuana na Levante alhamisi hii. Kila timu bado inapambania nafasi za uhai kwenye msimamo wa La Liga msimu huu. Kwa umuhimu wa mchezo huu, Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.05 kwa Bilbao.

 

Meridianbet, Nyumba yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

The post Atalanta Kukiwasha na Napoli Kesho Coppa Italia appeared first on Global Publishers.Click to comment
 
Blog Meets Brand