Anjella aelezea Ugonjwa wa ajabu unaomsumbua - EDUSPORTSTZ

Latest

Anjella aelezea Ugonjwa wa ajabu unaomsumbua

Msanii anayesaidiwa na Harmonize kwenye upande wa muziki na matibabu, Anjella ameeleza kuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa miguu ambao ulimuanza tangu akiwa darasa la 7.

Anjella amesema amepambana sana na ugonjwa huo mpaka wakakata tamaa wakabaki kufanya maombi ila anamshukuru Harmonize ambaye ameahidi atamsaidia na kumpeleka nchini India.

"Tatizo la miguu lilianza nikiwa darasa 7 sasa imepita miaka 8, nililala na nilivyoamka mguu ukawa unauma, tukakaa kama wiki ukaanza kutoa uvimbe, tukaenda Hospitali ya kwanza Ugonjwa hakuonekana ,ya pili wakasema ni tende, ya tatu wakasema mirija inayopitisha uchafu imeziba"

"Tukapambana na matibabu hadi tukapoteza matumaini, namshukuru Mungu ameniletea Harmonize ambaye amesema atanibitia na atanitafutia Hospitali za hapa wanaoweza kushughulikia tatizo langu na ikishindikana atanipeleka India" ameongeza Anjella Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz