-->

Type something and hit enter

On
Mshukiwa wa mauaji ya Baba mzazi wa Nicki Minaj, ametiwa mbaroni mara baada ya kujisalimisha mwenyewe katika kituo cha polisi jana Jumatano.


Mshukiwa huyo Charles Polevich (71) ambaye alimgonga na gari Baba mzazi wa Nicki Minaj na kukimbia, ameshtakiwa kwa kosa la kukimbia eneo la tukio mara baada kwa lengo la kukwepa ushahidi.


Mzee Robert Maraj alifariki dunia punde tu baada ya kufikishwa hospitali. Nicki Minaj bado hajazungumza chochote hadi sasa kuhusiana na kifo cha baba yake mzazi.Click to comment
 
Blog Meets Brand