-->

Type something and hit enter

On
KAGERA

Jeshi la polisi linamshikilia Fredius Philibart Kibengo kwa tuhuma za kumkata Shingo Mama yake baada ya mganga kumtaka apeleke Damu ya mama yake au ndugu wa karibu ili kuongeza utajiri kwenye biashara


Siku chache kabla ya tukio hilo, Mtuhumiwa alisafiri kwenda #Burundi kutafuta dawa za kuongeza utajiri na aliporejea nyumbani alimshirikisha mkewe mashariti aliyopewa lakini Mke hakukubaliana nayo.Click to comment
 
Blog Meets Brand