-->

Type something and hit enter

On 

Mtayarishaji mkongwe kutokea Bongo Flevani,  P Funk Majani ambae pia ni Mzazi mwenza na Mwigizaji Kajala kupitia mtoto wao Paula aliwahi kuhojiwa na Millard Ayo kuhusu mtoto wake Paula na Kajala kushambuliwa mtandaon.


‘Mimi niwe mkweli sipengagi kuficha na mzazi mwenzangu niliwahi kumwambia kama usifanya hivi sio leo wala jana kama anataka mtoto wetu aishi katika mazingira mazuri asimuwe hadharani lakini imeenda tofauti na vile ninavyotaka’- P Funk

VIDEO:

 DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLEClick to comment
 
Blog Meets Brand