-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU zote zinazoshika nafasi za juu katika Serie A jana hazikushinda, huku vinara AC Milan wakichapwa 2-0 na Spezia baada ya kushinda mechi mbili mfululizo, huku Napoli wakishinda mechi ya kwanza kati ya nne walipoichapa Juventus ya Cristiano Ronaldo 1-0.
Inter Milan wanaweza kupanda kileleni kama watashinda leo dhidi ya Lazio uwanja wa Giuseppe Meazza Jijini Milan. Kwa sasa AC Milan inaongoza kwa pointi mbili zaidi ya Inter (49-47) ingawa imecheza mechi moja zaidi (22-21) Click to comment
 
Blog Meets Brand