6 wafariki, 19 watekwa nyara katika Mashambulizi ya silaha Nigeria - EDUSPORTSTZ

Latest

6 wafariki, 19 watekwa nyara katika Mashambulizi ya silaha Nigeria

Watu 6 wameripotiwa kupoteza maisha na wengine 19 kutekwa nyara kwenye mashambulizi ya silaha yaliyotekelezwa katika mikoa ya Kaduna na Katsina nchini Nigeria,.
Washambuliaji hao waliokuwa wakiendesha pikipiki waliendesha shambulizi la silaha katika wilaya ya Kajuru iliyoko mkoani Kaduna.

Watu 5 walipoteza maisha katika shambulizi hilo, na wengine 9 wakatekwa nyara huku nyumba nyingi zikichomwa moto.

Katika mkoa wa Katsina, mtu 1 alifariki kwenye shambulizi lililoendeshwa na watu waliojihami kwa silaha, ambapo wanawake 10 pia walitekwa nyara.

Vikosi vya usalama vilitumwa katika maeneo ya tukio na uchunguzi ulianzishwa kuhusu mashambulizi hayo.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.