-->

Type something and hit enter

On 


Msanii 20 Percent amefunguka kusema anakasirishwa na tabia ya kuulizwa maswali yanayowahusu wasanii Alikiba na Harmonize kwa sababu sio kitu muhimu kwake na mashabiki zake.

 

Akifunguka hilo kupitia EATV & EA Radio Digital msanii 20 Percent amesema kuwa 

"Nakasirishwa kuongeleshwa mambo mengi yasiyonihusu hata kama nikija na kazi zangu mkononi nitaulizwa kuhusu fulani na fulani, kwa mfano unaulizwa kuhusu Alikiba au Harmonize kitu ambacho pengine sio muhimu kwa mashabiki zangu ambao wanataka kujua kwa wakati huo, ni watu ambao wamekaa kwenye mazingira ya kiki na mashindano ya mitandaoni"Click to comment
 
Blog Meets Brand