ZLATAN APIGA ZOTE AC MILAN YASHINDA 2-0 NA KUPAA KILELENI-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

ZLATAN APIGA ZOTE AC MILAN YASHINDA 2-0 NA KUPAA KILELENI-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MKONGWE Zlatan Ibrahimovic jana amefunga mabao yote mawili dakika ya saba kwa penalti na 52, AC Milan ikiichapa Cagliari 2-0 katika mchezo wa Serie A Uwanja wa Sardegna Arena, Cagliari.
Sasa AC Milan inafikisha pointi 43 na kuendelea kuongoza Serie A  kwa pointi tatu zaidi ya mahasimu wao wa Jiji, Inter Milan (43-40) baada ya wote kuchezsa mechi 18
 


No comments:

Post a Comment