Zahera: Simba Itaifunga AS Vita Nje Ndani-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Zahera: Simba Itaifunga AS Vita Nje Ndani-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

LIYEKUWA Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera raia wa DR Congo, amefi chua kuwa Simba wana nafasi kubwa ya kushinda mechi zote mbili dhidi ya AS Vita.Zahera ameongeza kwamba, hiyo ni kutokana na AS Vita kukosa wachezaji wenye uzoefu wa kutosha.

“Naona nafasi kubwa ya kufanya vizuri ipo kwa upande wa Simba kwa sababu vitu vinabadilika kadiri muda unavyokwenda, haiwezi kuwa kama ilivyokuwa wakati ule kutokana mabadiliko makubwa yaliyofanywa na AS Vita.“

Sioni dalili za wao kuwafunga Simba msimu huu katika hatua hiyo kwa kuwa Simba bado ina wachezaji wenye uzoefu na wapo pamoja kwa muda mrefu tofauti na AS Vita ambayo ina wachezaji wengi wapya na hawana uzoefu wa michuano ya hiyo,” alisema Zahera.

The post Zahera: Simba Itaifunga AS Vita Nje Ndani appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.