Yanga Yawachinjia Baharini Ihefu FC-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga Yawachinjia Baharini Ihefu FC-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

 UONGOZI wa Yanga kupitia kamati yake ya usajili, imewachinjia baharini mabosi wa Ihefu FC, kufuatia barua yao ya kumtaka mshambuliaji wao Waziri Junior, akajiunge nao kwa mkopo.

 

Takribani mwezi mmoja sasa Ihefu iliandika barua yake kwa uongozi wa Yanga, ukimuomba Waziri ajiunge na kikosi chao baada ya kusikia wanataka kumtoa kwa mkopo.

Akizungumza na gazeti hili, Kocha Mkuu wa Ihefu, Zubeir Katwila ameweka wazi kuwa, pamoja na kuendelea kuaminishwa na uongozi wa Yanga kuwa atapewa saini ya Waziri, amepata habari za ndani kuwa mchezaji huyo huenda akapelekwa Coastal Union ya Tanga.

 

“Nimesikia kuna uwezekano wa kumkosa Waziri, ambaye tuliwaomba Yanga watupatie kwa mkopo tena mapema kabi-sa, nilimtege-mea sana Waziri kuja kutu-saidia ila kama kweli wameamua kutotupatia siyo mbaya, tutajitahidi kuwatumia washam-buliaji ambao tumewapata kipindi hiki,” alisema Katwila

Srtori: Musa Mateja, Dar es Salaam

The post Yanga Yawachinjia Baharini Ihefu FC appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.