Yanga Wazindua Kalenda Yao Ya Mwaka 2021-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga Wazindua Kalenda Yao Ya Mwaka 2021-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

KLABU ya soka ya Yanga imezindua rasmi kalenda yake ya mwaka 2021.

Taarifa rasmi ya Yanga imeeleza: “Kalenda ya timu ya wananchi tayari imeshatoka na inapatikana kwa bei ya shillingi 5,000 Makao makuu yetu mtaa wa Twiga/Jangwani na Maduka yote ya GSM.

“Mwananchi pata nakala yako Sasa ili utambe na Kalenda yako,”

 

The post Yanga Wazindua Kalenda Yao Ya Mwaka 2021 appeared first on Global Publishers.No comments:

Post a Comment