Waziri: Yanga Ubingwa Bila Kufungwa Inawezekana-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Waziri: Yanga Ubingwa Bila Kufungwa Inawezekana-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Yanga, Waziri Junior, amesema kuwa anaamini kuwa upo uwezekano wa kikosi chao kuibuka na ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, bila kupoteza mchezo hata mmoja.

Waziri aliyejiunga na Yanga msimu huu akitokea kwenye kikosi cha Mbao FC aliyoichezea msimu uliyopita, tayari ameifungia Yanga bao moja akilifunga kwenye mchezo wa raundi ya kwanza kwenye ushindi wa mabao 2-1 walioupata dhidi KMC.

⚫️ Kwa UPDATES za Michezo, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Licha ya kuwa na mwendo wa kusuasua ndani ya Yanga, nyota huyo akiwa na Mbao msimu uliopita, alimaliza akiwa kwenye nafasi ya pili kwenye msimamo wa wafungaji bora, baada ya kuweka kambani mabao 13.

Akizungumza na Championi Ijumaa, Waziri alisema: “Tumekuwa na msimu mzuri tangu kuanza kwa ligi na ndiyo maana mpaka sasa kikosi chetu kinaongoza msimamo wa ligi na hatujapoteza mchezo wowote.

“Ubingwa tulioupata kupitia michuano ya Kombe la Mapinduzi, umezidi kutupa ari ya kupambana zaidi na naamini tutafanya vizuri kwenye michezo ya mzunguko wa pili ambapo tunataka kutwaa ubingwa, na kama tutaendelea kupambana namna tunavyopambana, basi inawezekana tukatwaa ubingwa bila kufungwa.”

Stori: Joel ThomasDar es Salaam

⚫️ Kwa UPDATES za Michezo, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

The post Waziri: Yanga Ubingwa Bila Kufungwa Inawezekana appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.