Waziri Ajiuzulu Baada ya Kugundulika Alipiga Chabo Akiwa Chuo - EDUSPORTSTZ

Latest

Waziri Ajiuzulu Baada ya Kugundulika Alipiga Chabo Akiwa Chuo

Waziri wa Kazi, Familia na Vijana wa Australia, Christine Aschbacher amejiuzulu baada ya kugundulika kuwa baadhi ya kazi zake za chuo amenakili mawazo ya wengine (Plagiarism).

Aschbacher alifanya Tasnifu ya kupata Shahada ya Umahiri ambayo tasnifu yake ilikutwa na wizi wa mawazo ya kitaaluma kwa kushindwa kuwaandika wahusika kwa usahihi na hakuwa na ufahamu wa lugha ya kijerumani.

Wizi wa Kitaaluma umegundulinga na Stefan Weber ambayo ni bloga na aliwasilisha uchunguzi wake Chuo Kikuu cha Bratislava akionesha kuwa sehemu ya tasnifu yalikuwa mawazo ya wengine ambayo wenye mawazo yao hawakutajwa.

Inaonekana ni suala la kawaida kwa wanasiasa wa mataifa yanayozungumza kijerumani kuiba kazi za kitaaluma ili kupata shahada zao. Karl Theodor zu Guttenberg na Annett Achavan waliwahi kuachia madaraka kwa kashfa kama hizo.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz