-->

Type something and hit enter

On 


Mtangazaji wa kipindi cha Nirvana ya East Africa TV, Host wa Miss Tanzania na mkali wa 'fashion' Tanzania Deogratius Kithama amemtaja Nedy Music, Ice Boy na Lulu Diva ni baadhi ya wasanii ambao wamepndeza zaidi mwaka 2020.

 


Akitoa tathmini yake ya mwaka 2020 kwa wasaniii waliopendeza kwenye mavazi, fashion na lifestyle kwa ujumla Deogratius Kithama amesema wasanii wengi wamejitahidi kupendeza pia majina mapya yameongezeka kwenye upande wa mitindo.


"Wasanii wengi wamejitahdi sana kwenye fashion tumeona majina mapya na vipaji vipya kwenye sekta za mitindo mbali na tuliowazoea, mara nyingi nimemtaja Jux kama ni mmoja wanaopendeza sana, lakini mwaka huu tumeona msanii kama Nedy Music, Ice Boy wamependeza sana na Lulu Diva kwa upande wa wanawake" amesema Deogratius Kithama Click to comment
 
Blog Meets Brand