Wakenya wakasirishwa na uteuzi wa Naomi Campbell kuwa balozi wa utalii - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Wakenya wakasirishwa na uteuzi wa Naomi Campbell kuwa balozi wa utaliiWakenya kupitia mtandao wa Twitter wameikosoa wizara ya utalii kwa kumteua mwanamitindo wa Uingereza Naomi Campbell, badala ya kumteua mkenya, kama balozi wa Kenya wa utalii.

Waziri wa utalii Najib Balala katika taarifa yake amesema ilikuwa ni taarifa ya kufurahisha katika sekta hiyo.


Bi Campbell alisifu serikali ya Kenya kwa kuimarisha miundombinu katika eneo la pwani ikiwa ni pamoja na kuimarisha uwanja wa ndege wa Malindi kuwa wa hadhi ya kimataifa na kuongeza kuwa hatua hiyo itaimarisha utalii katika eneo hilo.


Lakini baadhi ya Wakenya wanahisi cheo cha balozi wa utalii kinapaswa kutolewa kwa Mkenya aliyeleta mafanikio kimataifa kama mchezaji filamu Lupita Nyong'o au mchekeshaji Elsa Majimbo.


Wakenya hawa walikuwa na haya ya kusema:


"Ni kwanini hatukumteua Lupita Nyong'o wetu na kumnadi mtu ," Victor Amalemba alitweet.


"Ni kwanini Ajuma Nasenyana hakupaewa nafasi hiyo na ni Mkenya, kwanini Lupita hakupata ofa hiyo na ni Mkenya, Kwanini Debra Sanaipei hakupata nafasi hiyo na niMkenya... kigezo gani kilitumiwa katika uchaguzi? Mtu asiye Mkenya?" Syombua Kibue alitweet.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz