Wachezaji Simba Wamkataa Mkude-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Wachezaji Simba Wamkataa Mkude-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

IMEFAHAMIKA kuwa wachezaji wa Simba ndiyo waliomuondoa kikosini Jonas Mkude sambamba na kusimamishwa kazi kutokana na utovu wake wa nidhamu.

 

Hiyo ikiwa ni siku chache tangu uongozi wa timu hiyo kupitia kwa Mtendaji Mkuu Barbara Gonzalez umsimamishe kiungo huyo ambaye wiki ijayo itamuita kwa ajili ya kutoa utetezi wake kwa utovu wa nidhamu ambao ameufanya.

 

Kwa mujibu wa taarifa ambazo imezipata Championi Jumamosi, kabla ya uongozi kumpa barua ya kumsimamisha kazi, baadhi ya wachezaji waandamizi wa timu hiyo walimuwekea kikao na kumtaka abadili mwendo wake.

 

Mtoa taarifa huyo alisema kuwa wachezaji hao walichukua hatua hiyo baada ya kiungo huyo kuchelewa mara tatu mfululizo katika msafara wa mchezo wa Mbeya waliocheza dhidi ya Mbeya City, Nigeria walipokwenda kucheza na Plateau FC na ule wa Zimbabwe ambako walikwenda kukipiga na FC Platinum.

 

Aliongeza kuwa mara baada ya kikao hicho cha wachezaji kiungo huyo aliahidi kubadilika lakini alirudia kosa kwa kuondoka kambini huku simu yake akizima wakati timu hiyo ikijiandaa na mchezo wa Kombe la FA dhidi ya Majimaji FC.

 

“Wachezaji ndiyo walikuwa wa kwanza kumuondoa kambini sambamba na kumtaka kocha wao Sven (Vandenbroeck) kutomchezesha michezo kumi mfululizo ya ligi na mashindano mengine.

 

“Hiyo ni baada ya kiungo huyo kushindwa kubadilika, licha ya kumuwekea kikao na kumtaka abadilike, hivyo wachezaji walikubaliana kwa pamoja kambini kwa kumuomba kutomtumia Mkude.“

 

Hivyo Mkude hautamuona katika michezo kumi hata kama uongozi ukimrudisha katika timu, pia kiungo huyo amechukuliwa posho za michezo kumi ambayo ameicheza ya ligi na mashindano ya kimataifa,” alisema mtoa taarifa.

Mwandishi Wetu,Dar es Salaam

The post Wachezaji Simba Wamkataa Mkude appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.