-->

Type something and hit enter

By OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

WACHEZAJI wanne akiwemo rais wa klabu ya soka ya Palmas, Brazil, na rubani wamefariki katika ajali ya ndege ndogo jana, Jumapili.

 

Waliofariki ni Ranule (golikipa), Lucas Praxedes (mlinzi), Guilherme Noe (mlinzi). Marcus Molinari (kiungo), Lucas Meira (rais) na ruban aliyejulikana kwa jina moja la Wagner.

 

Ndege hiyo ilianguka muda mfupi baada ya kupaa katika uwanja wa Tocantinense karibu na jiji la Palmas wakati ikielekea Goiania, kilomita 800 kutoka Palmas ambapo klabu hiyo ilikuwa icheze mechi leo (Jumatatu).

 

 

 

Mwaka 2016,  kikosi kizima cha klabu ya Chapecoense kikiwa na watu 71 kiliangamia wakati ndege iliyokuwa inawapeleka katika fainali ya mashindano ya Copa Sudamericana huko Colombia ilianguka mlimani nje ya Jiji la Medellin.  Miaka miwili baadaye Fernandao,  nahodha wa klabu ya Internacional alifariki wakati  helikopta yake ilipoanguka katika jimbo la Goias.

 

Kwa habari kama hizi, Pakua App ya Global kwenye Google Playstore, App Store.
⚫ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫ ANDROID: http://bit.ly/38Lluc8
⚫ iOS: https://apple.co/3msGaf8

 

🔴#LIVE: IBADA YA JUMAPILI KUTOKA KANISA LA UFUNUO JAN 24, 2021

The post Wachezaji 4, Rais, Rubani Wafariki kwa Ajali ya Ndege Brazil appeared first on Global Publishers.Click to comment
 
Blog Meets Brand