Viingilio Simba, Yanga Vyapanda Mapinduzi-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Viingilio Simba, Yanga Vyapanda Mapinduzi-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

Simba na Yanga wanakutana leo Jumatano Januari 13, 2021 katika mchezo wa fainali wa Kombe la Mapinduzi huku viingilio vikipanda.

Mechi hiyo itachezwa uwanja wa Amaan kisiwani hapa ambapo awali tiketi ziliuzwa kwa Sh 3000, 5000 na 10,000 lakini hivi sasa zitauzwa kuanzia Sh 5000, 10000 na 15000 ambapo zitauzwa tiketi 12000 tu.

 

Pia fainali hizo zitashuhudiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi ambaye atakuwa mgeni rasmi.

Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya Kombe la Mapinduzi, Khamis Said amesema kuwa hawataongeza tiketi kutokana na uwezo wa uwanja kuwa mdogo na unaingiza idadi ya mashabiki hao hivyo watakaokosa tiketi watalazimika kubaki nyumbani.

 

“Watu waepuke kununua tiketi feki, tutaanza kuuza tiketi leo saa 3 asubuhi na milango itafunguliwa saa 7 mchana, uwanja wetu hauchukuwi idadi kubwa ya mashabiki na tunaelewa mechi hii ina mashabiki wengi hivyo wote wafuate utaratibu utakaowekwa.

 

“Ni fainali za aina yake kufanyika kisiwani hapa na itakuwa na mambo mengi yatakayoonyeshwa kuanzia huo muda ambao mageti yatafunguliwa hadi wakati mechi itakapoanza,” amesema Said.

 

Kuhusu idadi ya wachezaji kama timu zina mpango wa kuongeza, Said amesema kuwa hilo halitakubalika kama mchezaji hajasajiliwa kwenye mfumo wa Shirikisho la Soka Zanzibar (ZFF) ambao idadi ni wachezaji 30.

 

“Kuna taarifa nimesikia kwamba wachezaji wataongezwa, hilo halitakubalika kama wachezaji hao hawakusajiliwa awali tulipotoa mwaliko, tiketi zimepanda bei baada ya majadiliano na kamati,” amesema

YANGA vs SIMBA – TAMBO za MASHABIKI Hawa HATARI, Nani KUCHUKUA KOMBE MAPINDUZI?…

The post Viingilio Simba, Yanga Vyapanda Mapinduzi appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz