Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB
UONGOZI wa klabu ya Simba leo Januari 24, 2021 umemtambulisha rasmi Mfaransa, Didier Gomes Da Rosa kuwa Kocha Mkuu wa kikosi hicho mara baada ya aliyekuwa kocha wa kikosi hicho Sven Vandenbroeck kuachia ngazi Januari 7, mwaka huu.
The post Video: Simba Wamtangaza Kocha Mpya, Mfaransa Kutoka El Merrick appeared first on Global Publishers.