-->

Type something and hit enter

On 


NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Ummy Ndeliananga, ameendelea na msako wa kuwatafuta vigogo wanaotumia watu wenye ulemavu kama biashara ya kujipatia kipato.


Naibu Waziri amesema msako huo utakuwa endelevu mpaka pale watakapowakamata wahusika wakuu wote na kukomesha biashara hiyo.


VIDEO:


 Click to comment
 
Blog Meets Brand