USHINDI AIPA USHINDI DRC DHIDI YA MAJIRANI, KONGO CHAN-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

USHINDI AIPA USHINDI DRC DHIDI YA MAJIRANI, KONGO CHAN-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
BAO pekee la Chico Ushindi Wa kubanza jana lilitosha kuipa mwanzo mzuri Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) baada ya kuwachapa majirani, Kongo-Brazzaville 1-0 katika mchezo wa Kundi B Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) Uwanja wa Omnisport Jijini Douala, Cameroon.
Mshambuliaji huyo wa TP Mazembe ya Lubumbashi, alifunga bao hilo dakika ya 47 akimalizia pasi ya mshambuliaji wa AS ya Kinshasa, Makabi Lilepo na sasa DRC wanaongoza Kundi kufuatia Libya kulazimishwa sare ya 0-0 na Niger katika mchezo mwingine wa kundi hilo jana.
Michuano inaendelea leo kwa mechi nyingine mbili za Kundi C, Morocco na Togo Saa 1:00 usiku na Rwanda Saa 4:00 usiku Uwanja wa Reunification mjini Douala, Cameroon.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.