-->

Type something and hit enter

On
Taarifa kutoka Dodoma zinaeleza kuwa treni ya abiria imeanguka na kusababisha vifo na baadhi ya watu kujeruhiwa.

Treni hiyo ya reli ya kati ilikuwa safarini kutoka Dar Es Salaam kwenda bara. 

Updates kuhusu ajali ya Treni Dodoma.. Hii ni Taarifa kutoka shirika la reli Tanzania TRC kuhusu ajali hiyo


Click to comment
 
Blog Meets Brand