![]() | ||
UKWELI WA KOCHA WA SIMBA SVEN VANDENBROECK KIBARUA KUOTA NYASI | 👇 |
Klabu ya Simba imethibitisha kuachana na kocha Sven Vandebroek kwa makubaliano ya pande zote mbili "Kocha Msaidizi Selemani Matola atakaimu nafasi iliyoachwa na Sven mpaka pale tutakapomtangaza atakayechukua nafasi hiyo. Jiunge na group letu hapa
Tunatambua kuwa kocha Sven ataendelea kuwa familia ya Simba inamtakia kila la kheri katika shughuli na maisha yake"