Mshambuliaji wa zamani wa Simba na Yanga za Dar es Salaam, Amissi Tambwe (kulia) akiwa na kiungo wa zamani wa Arsenal ya England na Barcelona ya Hispania, Alex Song nchini Djibouti ambako wote wanacheza kwa sasa.
Tambwe (32) anachezea As Police Nationale, wakati Song (33), katika klabu ya Arta/Solar7 yupo pamoja na mkongwe mwingine wa Cameroon, beki Dany Nounkeu (34) aliyewahi kuchezea, Metz, CSO Amnévill, Pau FC, Toulouse za Ufaransa, Gaziantepspor, Galatasaray, Beşiktaş za Uturuki na Granada ya Hispania.
No comments:
Post a Comment