-->

Type something and hit enter

On
Mwimbaji wa Afrika Kusini Master KG amealikwa kutumbuiza katika nyumba ya mwigizaji nyota wa Marekani Vin Diesel. Kwenye ukurasa wa instagram wa mkali huyo wa 'Jerusalema' ameandika;


"Siku ya 4. Shukrani za dhati kwa Vin Diesel na familia yake kwa kunialika kwenye nyumba yao kwa ajili ya kuwaburudisha na muziki wangu. Najifunza mengi toka kwao. Na inapendeza sana kuona hamasa na upendo walionao kwangu na taifa langu."Click to comment
 
Blog Meets Brand