Simba Kuangukia Kwa Wababe Hawa Januari 8, Cairo-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba Kuangukia Kwa Wababe Hawa Januari 8, Cairo-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

KLABU ya Simba inasubiri droo itakayopangwa Januari 8, 2021, Cairo, Egypt kujua wapinzania wao baada ya kufuzu hatua ya makundi jana Januari 6, 2021 Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam.

 

Simba imefika hatua hiyo baada ya kushinda mabao 4-0 dhidi ya FC Platinum ya Zimbabwe licha ya kufungwa bao 1-0 kwenye mechi ya kwanza iliyochezwa Zimbabwe.

 

Timu zote zimetengwa kwenye makundi (pot) nne kutokana na pointi walizonazo na Simba ipo pot 3 na timu za Petro de Luanda ya Angola na MC Alger ya Algeria.

 

Katika pot hiyo Simba watasubiri timu moja baada ya kutochezwa kwa mechi ya marudiano ya Al Hilal ya Sudan dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana baada ya Kotoko kugoma kucheza kwa madai mchezaji wao mmoja hajapatiwaa majibu yake ya vipimo vya corona.

 

Kwa mantiki hiyo Simba atasubiri timu za pot 1, 2 na 4 ambazo zipo hivi;

Pot 1 – Al Ahly (Misri), Wydad Casablanca (Morocco), Esperance (Tunisia), TP Mazembe (Congo)

Pot 2- Zamalek (Misri), Mamelod Sundown (Afrika Kusini), Horoya (Guinea), AS Vita (Congo)

Pot 4- Al Merrikh (Sudan), CR Belouizdad (Algeria), Teungueth (Senegal), Kaizer Chiefs (Afrika Kusini)

Total CAF CL Group Stage:

· Match Day 1 – 12th/13th of February 2021,

· Match Day 2 – 23rd of February 2021,

· Match Day 3 – 5th/6th of March 2021

· Match Day 4 – 16th of March 2021

· Match Day 5 – 2nd/3rd of April 2021

· Match Day 6 – 9th/10th of April 2021

Total CAF CC Additional 2nd Preliminary Round:

· 1st Leg – 14th of February 2021

· 2nd Leg – 21st of February 2021

 

The post Simba Kuangukia Kwa Wababe Hawa Januari 8, Cairo appeared first on Global Publishers.



Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.