REAL MADRID YATOLEWA NA TIMU YA DARAJA LA TATU KOMBE LA MFALME -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

REAL MADRID YATOLEWA NA TIMU YA DARAJA LA TATU KOMBE LA MFALME -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya Real Madrid wametupwa nje ya michuano ya Kombe la Mfalme Hispania baada ya kuchapwa 2-1 na wenyeji, Alcoyano ya Daraja la Pili (Segunda B) jana Uwanja wa Manispaa ya Campo El Collao.
Mabao ya Alcoyano yamefungwa na José Solbes dakika ya 80 na Juanan dakika ya 115 baada ya Éder Militão kuanza kuifungia Real dakika ya 45 


No comments:

Post a Comment