Padri Anayedaiwa Kubaka, Kumpa Mimba Mwanafunzi Afunguliwa Mashtaka Upya - EDUSPORTSTZ

Latest

Padri Anayedaiwa Kubaka, Kumpa Mimba Mwanafunzi Afunguliwa Mashtaka UpyaALIYEKUWA Paroko wa Parokia ya Manushi Jimbo Katoliki la Moshi, Padri Erasmus Swai (44), ambaye anakabiliwa na kesi ya kubaka na kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha nne, amefutiwa mashtaka ya awali na kufunguliwa upya.

Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Nkamba Mbosela, jana Jumatatu, Januari 11, 2021, aliwasilisha hoja ya kuifuta kesi hiyo namba 159/2020 na kufunguliwa upya katika Mahakama ya Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro.

Padri Swai, anadaiwa kutenda makosa hayo kwa mtoto mwenye umri wa miaka 17 ambaye ni mwanafunzi wa sekondari, mkoani Arusha.

Akiwa mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama, Thurston Kombe, anayesikiliza kesi hiyo, Mbosela aliiambia mahakama kwamba upande wa mashtaka umebaini upungufu unaotokana na masuala ya kipelelezi.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz