Pacha wa Saido Apelekwa Zenji Kwa Ndege-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Pacha wa Saido Apelekwa Zenji Kwa Ndege-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

MAMBO yamenoga upya juu ya usajili wa straika mpya wa Yanga, raia wa Congo Ferebory Dore, anayetajwa kama pacha wa Said Ntibanzokiza ‘Saido’, baada ya wadhamini wa Yanga, kampuni ya GSM, kukamilisha dili la usajili wake.

 

Straika huyo wa zamani wa timu ya Angers ya Ufaransa, sasa Yanga wamesema kuwa atatua Visiwani Zanzibar kwa ndege ya moja kwa moja.Yanga ambayo tayari ilishawasilisha jina la Dore kwa Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM, ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya usajili ya Yanga, Hersi Said, tayari ameshafanikisha kuliteka soko la Dore na kukamilisha dili hilo.

 

Mbali na Dore hivi karibuni pia Eng Hersi alikaririwa akisema yupo pia kwenye mazungumzo na nyota wao wa zamani Heritier Makambo ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 26, ambaye Agosti 10, mwaka jana alijiunga rasmi na Klabu ya Horoya AC ya Guinea, katika mkataba unaotarajiwa kufikia ukingoni mnamo Jun 30 mwakani.

 

Pamoja na mkataba huo kutarajwa kufikia kikomo mwakani, bado thamani yake kwa sasa inatajwa kufikia Milioni 319 ambapo amefanikiwa kucheza mechi za kimataifa 13, huku akifunga mabao matatu na kusaidia kufunga bao moja ndani ya dakika 718, jambo linalowafanya mashabiki wa Yanga kutega sikio lao kwa makini wakitaka kujua ni yupi kati ya Makambo na Dore atatambulishwa huko Zanzibar.

Chanzo chetu makini kimelieleza Championi Jumatano kuwa, ukimya unaoendelea juu ya utambulisho wa Dore, umetokana na viongozi wa kamati ya usajili kutofanikiwa mapema kukamilisha taratibu za vibali vya nyota huyo.“

 

Kuna surprise kubwa inakuja Zanzibar, siku hizi chache ambapo timu itakuwa kwenye michuano ya Mapinduzi Cup, kikubwa nikuombe ueendelee tu kuwa mtulivu, kwani tunahitaji kuleta straika mapema iwezekanavyo ili aweze kujumuika na kikosi na mara baada ya Mapinduzi tu awe amezoea tayari kwa kutoa msaada wake kwenye ligi.

 

“Dhamira msimu huu ni kutwaa kombe, hivyo matumaini yetu makubwa ni kuhakikisha tunaona siku za hivi karibuni tunamtambulisha straika atakayeweza kutusaidia katika suala la upachikaji wa mabao,” kilisema chanzo chetu.

The post Pacha wa Saido Apelekwa Zenji Kwa Ndege appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.