-->

Type something and hit enter

By OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

Kamati ya Maadili ya TFF imemfungia Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli kutojihusisha na mchezo wa mpira wa miguu ndani Tanzania na nje ya Tanzania kwa kipindi cha miaka mitatu.

Mbali na kulipa faini ya shilingi milioni tano kamati imemkuta na hatia kwa kuichelewesha faini aliotakiwa kulipa.

Taarifa rasmi iliyotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) imeeleza kuwa mbali na Bumbuli pia Katibu wa Klabu ya Lipuli FC, Julius naye amefungiwa. Taarifa imeeleza namna hii:-

The post Ofisa Habari wa Yanga Afungiwa na TFF, Mbali na Kulipa Faini appeared first on Global Publishers.Click to comment
 
Blog Meets Brand