-->

Type something and hit enter

On

Dar es Salaam. Shule za sekondari za Serikali za Mzumbe na Ilboru ndiyo pekee zilizotoa wanafunzi bora katika matokeo ya kidato cha nne mwaka 2020.

Katika orodha ya wanafunzi 10 bora wanne wanatoka katika shule hizo ambao ni Timothy Segu na Innocent Joseph wa Mzumbe na Ashraf Ally na Derick Mushi wa sekondari ya Ilboru.


Katika matokeo hayo shule ya wasichana ya St Francis imeongoza katika orodha ya shule 10 bora ikifuatiwa na Ilboru huku Canossa ikishika nafasi ya tatu.


Kemebos imeshika nafasi ya nne ikifuatiwa na shule ya wasichana ya Bethel Sabs Girls na ya wavulana ya Feza.

Nafasi ya saba imeshika shule ya Ahmes ikifuatiwa, St Aloysius girls, ya wavulana ya Marian huku pazima la 10 bora likifungwa na shule ya St Augustine Tagaste.

Click to comment
 
Blog Meets Brand