Mugalu Ampoteza Vibaya Sarpong wa Yanga SC-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Mugalu Ampoteza Vibaya Sarpong wa Yanga SC-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

CHRIS Mugalu, mshambuliaji ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Sven Vandenbroeck, amempoteza vibaya nyota wa Yanga, Michael Sarpong.Mugalu akiwa amejiunga na Simba msimu huu, ametumia muda mchache uwanjani kufunga mabao kumzidi Sarpong ambaye naye ametua Yanga msimu huu.

 

Katika Ligi Kuu Bara, Mugalu raia wa DR Congo, amefunga mabao manne akiwa amecheza mechi saba, huku Mghana, Sarpong akifunga mabao hayo kwenye mechi 15 za ligi.

 

Jumla Mugalu ametumia dakika 249 kwenye mechi saba kati ya mechi 15 ambazo Simba imecheza na ikiwa imefunga jumla ya mabao 37 yeye alifunga mabao manne akiwa na wastani wa kufunga bao moja kila baada ya dakika 62.Sarpong ametumia jumla ya dakika 1,085 na amecheza mechi 15 ndani ya Ligi Kuu Bara kati ya 18 ambazo timu hiyo imecheza msimu wa 2020/21 ana wastani wa kufunga bao moja kila baada ya dakika 271.

Mechi 8 aliyeyusha dakika zote 90 ndani ya uwanja akimpoteza Mugalu ambaye ni mechi moja kati ya saba ambazo ameyeyusha dakika zote hizo.Muda wa Mugalu ni: Biashara United (dk 14), Gwambina (dk 16), JKT Tanzania (dk 90), Kagera Sugar (dk 27), Mbeya City (dk 45), KMC (dk 33), Ihefu (dk 24).

 

Kwa upande wa Sarpong ni: Tanzania Prisons (dk 90), Mbeya City (dk 90), Kagera Sugar (dk 90), Mtibwa Sugar (dk 88), Polisi Tanzania (dk 27), KMC (dk 90), Biashara United (dk 90), Gwambina (dk 32), Simba (dk 68), Namungo (dk 90), Azam FC (dk 20), Ruvu Shooting (dk 85), Mwadui (dk 90), Dodoma Jiji (dk 45) na Prisons (dk 90).

The post Mugalu Ampoteza Vibaya Sarpong wa Yanga SC appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.