-->

Type something and hit enter

On
BAADA ya wafuasi wa Rais Trump kuvamia Bunge la Marekani, Rais wa #Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa amesema Taifa hilo halina haki ya kuiadhibu nchi nyingine kwa misingi ya kidemokrasia.

Zimbabwe iliwekewa vikwazo na utawala wa Trump enzi za Robert Mugabe kwa ukiukwaji wa Demokrasia, hali inayoleta ugumu kwa Wananchi. Rais huyo amempongeza Joe Biden akisema wapo tayari kushirikiana na Marekani kwa manufaa ya pande zote mbili.

Marekani na Umoja wa Ulaya zimeiwekea vikwazo Zimbabwe kwa madai ya ukosefu wa Demokrasia na kuheshimiwa #HakiZaBinadamu na vilevile kubanwa kwa vyombo vya habari.Click to comment
 
Blog Meets Brand