MILAN YAICHAPA TORINO 2-0 NA KUENDELEA KUONGOZA SERIE A-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

MILAN YAICHAPA TORINO 2-0 NA KUENDELEA KUONGOZA SERIE A-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MABAO ya kipindi cha kwanza ya Rafael Leao na Franck Kessie jana yaliipa AC Milan ushindi wa 2-0 dhidi ya Torino kwenye mchezo wa Serie A Uwanja wa Giuseppe Meazza, Milan.
Ushindi huo unaifanya Milan iendelee kuongoza Serie A kwa pointi nne zaidi ya mahasimu wao wa Jiji, Inter Milan (40-36), ambao leo wanamenyana na Roma kufikisha mechi 17 pia 
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz