-->

Type something and hit enter

On
Melania Trump ni kama amemalizana na mumewe baada ya kuondoka kwenye kuta za White House. Ashindwa kusimama na kupiga picha mbele ya wageni mara baada ya kuwasili mjini Florida toka Washington.


Kama unakumbukumbu vizuri, Melania aliwahi kukaririwa akisema ataachana na Donald Trump pindi tu akimaliza shughuli za Urais. Melania alisema hakupenda maisha ya hadhi hiyo kubwa duniani.Click to comment
 
Blog Meets Brand