-->

Type something and hit enter

On  
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema, Madiwani na Mbunge mmoja wa CHADEMA ambao wameapa baada ya kushinda katika Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020 hawajatenda jinai

-

Amesema kuwa, viongozi hao wamekaidi misimamo ya chama hivyo chama kitatenda haki kwa kuwasikiliza kila mmoja wao kabla ya kuchukua uamuzi stahiki kwa muda muafaka

-

Pia, kuhusu Wabunge 19 wa Viti Maalum amesema, vikao maalum vya chama vitakaa kusikiliza Rufaa ya Wabunge hao waliofutwa uanachama na nyadhifa zao zoteClick to comment
 
Blog Meets Brand